Picha zimeonyesha kundi la al-Shabaab likigawa chakula kwa wakazi wa mji Jilib katika maeneo ya Kusini mwa Somalia

 

0fgjhs5h5650mfpjr-2cfaf22b
Chakula kilichotolewa na Mujahidina wa al shabaab kusini mwa somalia

Kitendo hiki kimewafanya watu wengi Kwenye mitandao ya kijamii kujiuliza jinsi kundi hili linaweza kupata chakula kingi bila kupatikana na serikali ya Somalia ama jeshi la Amison.

5
Mujahidina wakigawa madawa na chakula kusini mwa somali
9
zoezi la ugawaji wa dawa na chakula likiendelea kwa wakazi wa kusini mwa somali